Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,397
Shule hizo zilizofutiwa matokeo zipo katika Wilaya ya Kondoa jijini Dodoma, Kinondoni na Ubungo katika jiji la Dar pamoja na Wilaya ya Nyamagana jijini Mwanza
> Serikali pia imewasimamisha kazi Maafisa Elimu na Taaluma wa Wilaya ya Chemba na Kondoa, Waratibu Elimu na Walimu Wakuu wa shule za msingi za wilaya hizo kwa kuvujisha mitihani
> Katibu Mtendaji NECTA, Charles Msonde amesema leo kuwa Uongozi wa Idara ya Elimu ya Chemba kwa kushirikiana na Waratibu na Walimu Wakuu ulipanga kwa makusudi kufanya udanganyifu wa mtihani
> Ameeleza kuwa Waliunda makundi katika mtandao wa WhastApp, mtihani ulipofika waliufungua na kusambaza kwenye makundi hayo
> Amewataja waliohusika kuwa ni Kaimu Afisa Elimu Msingi, Modest Tarimo; Afisa Taaluma, Eliakida; Kiongozi wa Kundi la WhatsApp alikuwa Mratibu Elimu wa Kata Farukwa, Deo Philip pamija na Wakuu wa shule na Waratibu