Kampungapunga
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 313
- 1,100
Nikiwa secondary mkoani kuna msichana mmoja mzuri sana mzuri hasaa, huyu demu alikua pia anajielewa kama ni mzuri sana so alikua ananata sana mana aliwafuni mademu wote kwa uzuri.
Mwaname mimi sikua na shobo kwake japo nilikua namtamani sana sikutaka kujionyesha kwake mana hata mi nilikua superstar wa shuleni hapo kipindi hicho, hata nikikutana naye nilikua simsalimii kabisa hata akionyesha tabasam najifanya kama sijamuona.
Tulipata likizo ya mwezi wa sita mi nikaja zangu Dar kwa bro kupata burudani kidogo, likizo ilipoisha nikakata tiketi ya tren tayari kwa kurudi shule, kesho yake mwanaume nikapanda nikaanza safari nikafika tabora kesho yake. sasa katika kuzungukazunguka nikakutana na yule demu akanishobokea kweli akaniambia na yeye katoka dar nikamwambia poa.
Nirudishe story nyuma kidogo katika hii likizo nilikua na mjomba wangu ambaye naye tulikua tukisoma shule moja.
Time za tren kuondoka ziliwadia yule demu akaniambia niende nikae naye sit moja mana aliyekua kakaa naye kashukia palepale tabora mi nikamwambia usijali kweli tukapanda mimi nikakaa naye tukawa tunapiga story za kawaida mpaka ilipofika saa sita usiku abilia wengi walikua wamelala kuko kimyaa.
Demu akaanza kunilalia bila kutegemea nikashangaa ananipa mdomo mwanaume sikulaza damu nikaanza kuunyonya kwa ustadi mkubwa, sijakaa sawa akafungua zipu akaanza kujipiga mswaki kwa mashine yangu kiukweli wakati huo akili yangu haipo kabisa nishachanganyikiwa natamani nimgonge palepale ila nafsi inakataa mana jilani walikuwepo wamama wamelala ikabidi nijikaze nikaushe.
Asubuhi tukafika station tukaagana huku yule demu akinisisitiza nisimwambie mtu yeyote kilichotoke nikamwambia ucjali mi ni mwanaume najielewa basi tukaagana tukiwa tumekubaliana kwamba tutapanga siku nyingine kwaajili ya gem.
Sasa mwanaume nikaona ngoja nimwambie mjomba wangu mana tumeshibana sana, nikamwambia yote akawa anacheka tu huku akiniuliza ingekuaje kama ningekamatwa mi nikamwambia nilikua makini sana.
Kesho yake tukaenda shule nikakutana na yule demu tukasalimiana vizuri mi nikaendelea na mishe zangu, baada ya kama siku mbili nikamuona yule demu anakuja kwangu huku analia kwa uchungu nikamuuliza kulikoni akaniambia kwanini umemwambia mjomba wako yote tuliyofanya? sikuweza kujibu chochote nilibaki nimeganda pale nilipo simama , akaniambia kuanzia sahivi unikome na iwe kama hujawahi hata kuongea na mimi.
Hiki kitu kiliniumiza sana mana yule demu kwenye tren alinisifia akisema mimi ni mstarabu then nakuja kuonekana fara kilahisi hivi na mzigo sijala? yalijaa maswali kibao kichwani mwangu lakini niliamua kusamehe kabisa hata mjomba wangu sikumwambia.
Ndugu zangu kama una siri basi jalibu kuitunza mwenyewe usimwamini mtu kwenye hii dunia.
Tuambie kilicho kukuta cha aibu ukiwa shule.