Washindi wa Nobel Peace Prize 2018

Big Dy

JF-Expert Member
Dec 23, 2015
467
541
Tuzo za Nobel Peace Mwaka huu zimeenda kwa bw. Denis Mukwege na bi. Nadia Murad. Wamepewa tuzo hizo kwa jitihada zao za kutetea na kupiga unyanyasaji wa kimapenzi kama njia ya silaha na ukatili wa nguvu
IMG_20181005_121555.jpeg
 
tuwajue wasifu wao na nchi watokako mkuu au tuingie gugu?
 
Vema sana lakini tutafika lini kwenye tuzo za say medicine and physiology, physics ie za science?
 
Back
Top Bottom