NGERESHAA
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 1,308
- 1,815
Za Leo Ndugu zanguni,kwa wale wenye matatizo mola awajalie wepesi kuvuka.
Nimekaa nikakumbuka Mahusiano yangu ya Nyuma na x wangu nikabaki kutingisha kichwa .kifupi nilikuwa mkweli sana ktk mahusiano na sikupenda tabia ya kudanganya hii nalo ni tatizo kwa upande wangu, wanawake wengi hawapendi Ukweli .
Basi Maisha yangu kabla ya kuoa % kubwa ni kuwa single ,Basi nikawa nimempenda Mdada flani nikaanza naye urafiki kuelekea uhusiano nikagundua tayari alikuwa washamzalisha nyumbani Basi nikaomba mechi akanisumbua balaa mapozi kibao mwisho wa siku nikaja mbananisha sehemu imbisha kuanzia saa 2 jioni mpaka Saa sita na nusu usiku Ndio anakubali nichukue chumba Basi tukafanya yetu Kila mtu akaridhika.
Kwa kuwa alinisumbua Nami baada ya kukata kiu nikapiga kimya + Tabia yangu ya kupenda kuwa single.
Akaanza unajua nimekupenda sana ww ni mzuri kila sifa niliyotaka unayo,nikamwagiwa sifa kibao
Nikawa Nani namzingua ,aisee uvumilivu ukamshinda akawehuka kwa asira ya mapenzi alinitukana tukana mpaka Basi sikujibu SMS hata moja nikakaa kimya,akasema rudishia uone hapo ndio Naanza mm kimya.
Siku chache zikakatika Akanza kutuma SMS za kuniomba msamaha akiniambia Ni hasira tu ila ananipenda ,akanibembeleza sana mwisho akapiga nikapokea kaendelea kuniomba Radhi nikamwambia wala mm sijakasirika chaochote akasema namdanganya nikamwakikishia sijakasirika ningejibu ,Akaniomba kama kweli sijakasirika niende kuna zawadi yangu anayo pia anataka kuongea nami pia kunishirikisha jambo,Nikakubali tukaweka miahadi ya kukutana kweli nikaenda kufika Oohooo! Nilipokelewa kwa mbwembe kumbe alikua kaandaa mazingira yote ya Kurudia mechi si unajua udhaifu wa mtoto wa kime kwa mambo hayo hasa kila kitu kinacho kuzunguka kinatoa ujumbe mmoja wa mechi safari hii mtoto wa kike alijipanga kweli kweli nia yake nikolee Ukweli aliniwezea sikuwa na pingamizi zaidi ya kuruhusu akili yangu ikubali na kuingia mzigoni Ukweli siku hiyo alikuwa tofauti fundi haswa.
Mwisho wa mechi hakuna kilicho endele ,hakuna cha zawadi wala ushauri akaniambia nilikudanganya ili uje Basi tukaagana.
Kama kawaida yangu kimya,Akaanza yeye kuniandikia SMS na kunipigia safari hii kwa upole na kunibembeleza akaniuliza maswali mengi moja wapo Nina mpangogani na yeye kama sipo tayari kumwoa nimwambie kwani kuna wanao msumbua ila ananipenda Mimi.
Nikafunguka sikumficha kama ilivyo kawaida yangu nikamwambia Mm umenitangulia ( una mtoto) Mimi siwezi Oa mwanamke mwenye mtoto asiye wangu labda kama mm nami ningekua na mtoto au watoto hivyo awe huru aolewe tu.aisee alinibembeleza nikabaki na msimamo wangu mwisho wa siku akanisihi sana huyo mtoto ataenda kwa mzazi mwenzie hatakuwa na sisi nikampa sababu zangu mwisho wehu ulipofika kileleni akaniambia Basi Niue huyu mtoto ,Nikamwambia siwezi na ukijaribu au kufanya chochote kwa mtoto Ntampeleka polisi Mimi mwenyewe na kumtafuta baba wa mtoto nimwambie Basi akawa mpole Maisha yakasonga akiwa na malalamishi mengi .
Nikahama mkoa miaka miwili sina mawasilino naye sikumoja nikapokea Simu ngeni kumbe ni yeye akaniuliza ulisha oa nikamwambia Ukweli bado akajilalamisha akasema bado nafasi yangu Ipo na hivi mambo kwake yamemyokea ameshajenga na anamipango mikubwa kiuchumi ,nikajaribu kuuliza kwa rafiki yangu akasema ni kweli,Msimomo wangu ukabaki uleule .
Nimekumbuka Leo nikabaki kutingisha kichwa nikajisemea wanawake kweli ni Mafundi wa kupenda.
Nikapata funzo mwanamke anaweza kukuchukia kupita maelezo kisa mapenzi pia ni rahisi sana kukusamehe kwani chuki aliyonayo ni wewe kukumiliki ukiwa tayari kuyamaliza ni rahisi sana kufungua ukrasa mwingine.yupo tayari kufanya lolote akupate ata kuua,Ndio nikaita Wehu
N:B siwachukii single mother Bali ulikuwa msimamo wangu kwa wakati ule.Nawapenda sana na wengi wenu ni watafutaji na waelewa wa Maisha kwa ujumla .asanteni