Niko kwenye mahusiano na binti mzuri sana wa sura,umbo na tabia...tatizo kubwa linalonikwaza nikuhusu "K" yake,inaharufu kali sana,sasa kama mnavyojua wakuu kwenye mahusiano "K" ndio mpango mzima....naomba ushauri kama kuna dawa anaweza kutumia ili K yake isiendelee kutoa harufu kali ,issue za usafi yuko vizuri na ni msafi kwenye K yake but sijui nikwanini inatoa harufu kali.....ushauri please