Super market or poultry farm mtaji 25 milion

Super market or poultry farm mtaji 25 milion

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,442
Reaction score
8,695
Habari wana Jf

Ninamtaji wasmillion 25 ila bado sijajua wapi niekeze kwenye hizi sector 2

Naomba ushauri wenu wadau
 
Tafuta busi
Habari wana Jf

Ninamtaji wasmillion 25 ila bado sijajua wapi niekeze kwenye hizi sector 2

Naomba ushauri wenu wadau
Kile kilichokuwezesha kupata hizo pesa nikizuri zaidi au umekopa?Poultry farm ina risk nyingi ila mtaji huo inatosha na inamzunguko mfupi na kupata faida au hasara haina kodi mkuu mavibali mengi mengi hapo hakuna.Kama ni kuku saso au kuroila, au kenbro hapo utaanza na kuku wasiopungua buku 7
 
Mini Super Market utapoteza
Na kuwekeza zote kwenye poultry utakufa presha
 
Kuku ndiyo bora. Huko kwingine ni kufanyishwa kazi kuliko punda huku wakija vijana wenye tai zao kukuchukulia mtsji wote kisa "Ulikwepa kodi". Utajinyonga utakapoambiwa "Elezea ulivyopata huo mtaji to the last coin."
Kuku is the best. Risk iko kila mahali so we don't live under the threat of risk. Every thing in this life is full of risks and uncertenities..
 
I'd absolutely go for a poultry farm project if it were me.

Doing something passionately while it lets you earn cash is a dream come true.
 
I'd absolutely go for a poultry farm project if it were me.

Doing something passionately while it lets you earn cash is a dream come true.
Naomba namba ya Ras Simba please!
 
Fanya poultry kwanza soko lake sasa hivi kubwa na risks yake ni umakini wako usitegemee vijakazi 100% or 50% inahitajika committement ya wewe mwenyewe 100% ikishindikana 90%
 
Back
Top Bottom