mangonjoli
Senior Member
- Aug 29, 2012
- 154
- 110
Wadau leo sina kubwa zaidi ya ombi binafsi. Nina mipango ya kwendaThailand kutembea kidogo lakini pia nilitaka ninunue Pikipiki ndogo Used aina ya Click kama nimepatia Spelling.
Ombi langu nataka kujua mji gani naweza kununua kwa bei rahisi zaidi ndani ya Thailand na Agent wa kuisafirisha anavyopatikana
Ombi langu nataka kujua mji gani naweza kununua kwa bei rahisi zaidi ndani ya Thailand na Agent wa kuisafirisha anavyopatikana