Yuko wapi Dr Louis Shika?

Yuko wapi Dr Louis Shika?

Shelus Jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2016
Posts
270
Reaction score
167
Habar wana jamvi,
Alikamata headlines za vyombo vingi vya habari hususani mitandao ya kijamii, akaja na hoja ya kununua nyumba za Lugumi, ghafla kapoteana.
FB_IMG_1538410116263.jpg
 
Waliokuwa wanamtumia hawamhitaji tena! Si unakumbuka ametumika sana kuhamisha magoli! Kwanza, wakati wa uuzwaji wa nyumba za Lugumi; na pili, wakati ilipodaiwa chenji yake kiasi $ 60 milioni na matofali ya dhahabu kadhaa. Kumbe usanii mtupu, sasa hahitajiki tena! Au labda akihitajika tena atarudi kwa lime light!
 
Licha ya kutohitajika,yuko wapi?
 
Katumika kuua soo la lissu magu mungu anakuona
 
Back
Top Bottom