Wiki ya UWT Taifa, Manyara iliyofanyika Mbulu

Wiki ya UWT Taifa, Manyara iliyofanyika Mbulu

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Viongozi wa Jumuia ya wanawake Tanzania UWT Mkoa na Wilaya za Mbulu, Hanang, Babati Vijijini wamehitimisha wiki ya UWT Taifa iliyofanyika Mbulu.

Wametoa elimu ya Afya ya uzazi, mimba za utotoni, na jinsi ya kujiamini na kuwa na moyo wa kufikiri mambo chanya wakati wote ili kufikia njozi tarajiwa.

Zaidi ya wanafunzi 650 walinufaika na elimu hiyo, ambapo Mh Ester Mahawe (MB) alipata nafasi ya kuwatembelea akina mama waliojaliwa watoto pamoja na wagonjwa katika hospitali ya Wilaya ya Mbulu.

Pia Mhe Mahawe aligawa mashuka 40 na sabuni ya unga kwa wagonjwa na wafanyakazi kwa ujumla wao walifurahia na kushukuru kwa kuwajali.

Wanafunzi wa shule ya Chief Sarwat Sec walufundishwa jinsi ya kuwa wachezaji bora wa Netball.

Siku ya UWT Tanzania inafanyika kila tarehe 3/10
 
Back
Top Bottom