Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mbio za Rotary Dar, Catherinerose Barretto (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) katika mkutano uliofanyika jana (Oktoba 02, 2018)...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyangh’wale mkoani Geita, Carlos Gwamagobe na watumishi wengine watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi mkoa wa Geita kwa...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Bado ni asubuhi ya leo tar 8/10/2018 lakini tunashuhudia ajali mbili za barabarani. Moja ya New Force eneo la Vigwaza na nyingine eneo la Bonga Babati. UPDATES; Basi hilo lililokuwa likitoka...
1 Reactions
55 Replies
16K Views
Batch iliyopanda cheo na kwenda cheo cha Brigedia jenerali mwaka 2012 akiwemo Luteni jenerali Paul Masao ndio Batch hiyo hiyo alikuwepo pia Jairos Mwaseba Sasa samahani naomba kujuzwa imekuwaje...
4 Reactions
38 Replies
8K Views
Habari wana JF kuna jambo nilikuwa ninaliwaza kuhusu sekta ya utalii maana ili kupata watalii wengi watakao tembelea vivutio vyetu na kuvitangaza. Ilisemekana kuwa wakati wa safari ndan ya ndege...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Pichani ni mwimbaji wa nyimbo za injili ambaye alikuwa ni mshindi wa BSS miaka kadhaa iliyopita(Huyo Mfupi) Anaitwa pascal kasiani Hii Picha alipiga akiwa Mwanza nadhani ni wiki iliyopita hebu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwanza nawapongeza sana sumatra kazi nzuri wanazozifanya ktk nchi yetu. kuna kero mmoja imejitokeza kwa sasa ambayo inahusiana na ruti ya daladala itokayo ubungo kwenda kibamba ccm, kufuatia...
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Ukeketaji wa wanawake ni utaratibu ambapo viungo vya siri vya wanawake hujeruhiwa au hubadilishwa. Jambo hili linaweza kuathiri sana afya ya wanawake na watoto wa kike katika maisha yao ya baadae...
2 Reactions
1 Replies
955 Views
Kuna watu walevi Kuna watu wazinzi Kuna watu wanapenda sana sigara, mpira na pengine kutumia madawa ya kulevya ama mihadarati Kuna mtu anaishi maisha ya taabu sana Kuna mtu anaishi maisha ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mzuqa Kama wengi mjuavyo niko kwenye desperate transition moment ya kuwa millionare kwa LAZIMA yani iyo hapingiki wala haikwepeki strategies zipo nitawaupdate kila mara. Ni hivi kazi yangu ya...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamani Mimi katika maisha yangu nna ndoto kubwa mbili tuu nikitimiza Hizi asante mungu ndoto ya kwanza ni kuhama nchi natamani nikaishi SA,USA,AU au UK pia ndoto ya pili lazma nimiliki range Rover...
5 Reactions
64 Replies
6K Views
Hello wanajf. katikati ya mwezi wa tisa nlikuja hapa kwa ajili kuomba msaada wa kufungua bima ya afya.na mwitikio ukawa mwema kuna waliohamasisha walionipa pole,ewaliotoa mawazo na walionichangia...
22 Reactions
76 Replies
6K Views
Unanunua vitu vya laki moja mfanyabiashara anakuandikia risiti ya shilingi elfu 10, Unanunua vitu vya laki 5 unaandikiwa risiti ya elfu 5 kwa namna hii ni kwanini tusiendelee kuwa omba omba...
0 Reactions
2 Replies
739 Views
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imeagizwa kufanya uchunguzi wa haraka kwa taasisi 30 ikiwamo Benki Kuu (BoT) kutokana na kuwapo na viashiria vikubwa vya rushwa katika hatua za...
3 Reactions
22 Replies
7K Views
Wakuu habari zenu, Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi. Wakuu nina shida sana, nimepatwa na matatizo, nina hitaji msaada wenu wa kifedha. Nina shida na shilingi laki moja. Mimi ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Study Shows That A Bad Boss Can Make Employees Sick
0 Reactions
0 Replies
569 Views
wakuu nina laini ya tigo haisomi mnara wa data nimeseti APN fresh lakini haionyeshi EDGE, 3G, H wala H+ nimejaribu kuweka kwenye simu nyingne[tecno na Samsung] bado imegoma na nimewapigia Tigo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wasalaam ! Kwa wiki mbili mfululizo ushiriki wangu ulikuwa hafifu hapa mahali petu. Kiukweli ni kwamba nilipatwa na nikaumwa hasa. Sikujaribu tiba yoyote ya hospital wala kienyeji bali natural...
54 Reactions
175 Replies
13K Views
Habari ya jioni wanajamvi. Najiuliza tu hivi ikitokea sisi wafrika yani ngozi nyeusi Mungu akatuinua kiuchumi hivi tutaweza kweli hata kuwapa misada wenzetu wazungu kama wao wanavyotufanyia...
0 Reactions
3 Replies
958 Views
Ndiyo
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…