Mlioko jeshini na mnaojua kuhusu Jairos Mwaseba

Masamila

JF-Expert Member
Jun 22, 2014
6,411
7,306
Batch iliyopanda cheo na kwenda cheo cha Brigedia jenerali mwaka 2012 akiwemo Luteni jenerali Paul Masao ndio Batch hiyo hiyo alikuwepo pia Jairos Mwaseba

Sasa samahani naomba kujuzwa imekuwaje naliona jina tena la Jairos Mwaseba kuwa kapandishwa na kuwa Brigedia Jenerali mwezi Aprili mwaka huu na mabrigedia wapya akina Sibuti ilihali alishapata kupandishwa cheo cha Ubrigedia Batch moja na Luteni Jenerali Paul Masao

Je Mwaseba alishushwa cheo hapo kabla? Na je kwa wanaojua ni sababu zipi akashushwa cheo ?

Waliokuwa Batch moja mwaka huo wa 2012 pamoja nae wamepanda hadi kufikia kuwa maluteni jenerali
 
Bila shaka wewe ni mmoja wa hao , umejiandikisha tu,kufikisha ujumbe,

Tunaomba ufute kabla hujakamatwa kwa kutoa siri za jeshi lako
 
km kakosa na kushushwa ni kwa mujibu wa utaratibu wao ambao sie raia hatuujui(maana hata mahakama zao wanazo)
pia kwenye utumishi watu wengi wanapanda na kushushwa vyeo.SIO JAMBO GENI,
MWISHO NADHANI HATUNAGA UTARATIBU WA KUTOA HABARI ZA NDANI ZA UPANDISHWAJI VYEO NJE YA TEUZI NA TENGUA
 
Batch iliyopanda cheo na kwenda cheo cha Brigedia jenerali mwaka 2012 akiwemo Luteni jenerali Paul Masao ndio Batch hiyo hiyo alikuwepo pia Jairos Mwaseba

Sasa samahani naomba kujuzwa imekuwaje naliona jina tena la Jairos Mwaseba kuwa kapandishwa na kuwa Brigedia Jenerali mwezi Aprili mwaka huu na mabrigedia wapya akina Sibuti ilihali alishapata kupandishwa cheo cha Ubrigedia Batch moja na Luteni Jenerali Paul Masao

Je Mwaseba alishushwa cheo hapo kabla? Na je kwa wanaojua ni sababu zipi akashushwa cheo ?

Waliokuwa Batch moja mwaka huo wa 2012 pamoja nae wamepanda hadi kufikia kuwa maluteni jenerali
Wewe nenda mmj kaulize watakupa full data
 
`
I can understand you guys,your work and how you value it....

But to be honest with you guys,I really hate majeshi yote na maaskari wote no matter who...

In life it happens kuna vitu fulani unaweza vichukia sana,basi majeshi,na wanajeshi wake wote na Usalama,Takukuru,etc..I hate aisee...

I can understand who you guys are,ila Im sorry kwakweli...Ningekuja kua rais ningeyaondoa yote tuwe kama Switzerland!
 
Hawa watu ndio wanafanya wewe ulale usingizi na familia yako.Kama sio wao Tanzania hasa Kagera ingekuwa sehemu ya Uganda.Tengua kauli yako tafadhali
 
Huo ni uongo mkuu...

Jeshi ni 1% ya population....hawafui dafu hata kwa 10% ya wananchi ...

Kagera kua sehemu ya Uganda kuna shida gani?Kwani Uganda sio nchi?

Ni geographical boundaries tu,huenda 100% ya Kagera people have 100% DNA composition of their fellow relatives in UG!

Moshi kua Kenya who cares?...Anae-care ni mtawala wala sio mwananchi kamwe!

Majeshi ni tamaa ya watawala kutawala...
 
Back
Top Bottom