Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu, Tunaomba angalau kama lami haijafikiriwa basi tusaidiwe kifusi barabara nzima. Kutoka mbezi mwisho hadi mpigi magoe barabara ni mbaya sana kwa kweli. Tunaomba msaada wako, basis angalau...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Utawala wa awamu ya tano chini ya mh rais wetu Dr john Joseph pombe magufuli hautaki mzaha na kazi. Tumshukuru Rais wetu na vyombo vyake vya usalama ambavyo kwa kweli vinafanya kazi kweli kweli...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
MIMI RAIS MAGUFULI naleta ombi langu kwako ukiwa kama kiongozi na mfanya maamuzi yote makubwa, Mimi Ni kijana katika taifa lako nimehitim chuo kikuu Ni miaka mitatu sasa imeisha ajira za serkali...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi, kama habari inavyosomeka nitangulize samahani huwenda nimekosea herufi za taasisi husika(Tarura) nilitaka kumaanisha ile idara inayoshughulika na barabara inayofanya kazi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba niseme kwa kifupi tu, kwamba chama cha walimu tanzania mungu anawaona,mmesahau kabisa madhumuni yenu,endeleeni tu kutembea kama viongozi wa serikali mnavyotembelea wanachama nasema...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi Ninavyoamini, kipengele cha ku like ktk mitandao ya kijamii kimewekwa ili endapo umependezwa au umefurahishwa au umevutiwa na post ya mtu ndio u like. Lakini cha kushangaza, ninaona...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari; Kama una tatizo tajwa hapo juu gonga like halafu comment kisha nitakuambia Dawa yake inbox.Usisahau kumtag mwenzio unayemfahamu mwenye tatizo hilo.Tiba ni bure Vigezo na masharti...
3 Reactions
3 Replies
867 Views
"Wanapata wapi muda na pesa?" Nijambo ambalo nimekuwa nikijiuliza tokea nikiwa mdogo. Kuna watu walikuwa vinara wa kupiga simu redioni, leo wengine wamepotea, wengine wamepunguza, watu kama Suzzy...
7 Reactions
227 Replies
23K Views
Nadhani kuna kosa ambalo wengi tumekuwa tunafanya tunaposoma Biblia, hasa vitabu vya mwanzo vya Musa kuchukulia umri wa watu mbalimbali na kuulinganisha kama ni sawa na umri wa binadamu wa sasa...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Muhadhiri mkongwe Afrika mashariki, Alhaj Sheikh Said Omar Rico amefariki dunia majira ya saa kumi jioni, Oktoba 8, 2018 nyumbani kwake Kiwalani jijini Dar es salaam. Alhaj Sheikh Rico wakati wa...
4 Reactions
14 Replies
5K Views
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia William Ole Nasha amewataka viongozi kuanzia ngazi ya mkoa hadi vijiji nchini kuhakikisha wanafunzi wanaomaliza darasa la saba hawaondoki katika maeneo...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Kwa mara ya kwanza kutakuwa na usafiri wa moja kwa moja ktk Australia mpaka London, mji mkuu wa Uingereza, ambazo ni kama kilometa 14 500 hivi, hii haijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa Dunia...
13 Reactions
76 Replies
12K Views
Kama inavyofahamika kumekuwa na hujuma katika shamba hili la mifugo. Wakati mkikokotoa upotevu wa fedha katika shamba hilo zingatieni yafuatayo:- 1. Ng'ombe waliokuwepo 2005 walikuwa kama...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mh Suleman Jaffo Waziri mwenye dhamana Ofisi ya Rais TAMISEMI Naomba nikupe ujumbe huuu sisi tuliowatumishi wapya tunaolipenda taifa letuu na kuwa wazalendo na taifa letuu Mmetupangia nafasii za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kipi ni bora kati ya akili kuwa mbele kwa sekunde dhidi ya kuongea au kuongea kwanza ndipo akili ifuate nyuma? Lakini waafrika asilimia kubwa wanaonekana ni wale watu wakuongea kwanza kisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu huku na kule nimegundua ya kwamba kanuni moja matata tuliyokuwa tukitumia mashuleni hasa elimu msingi na sekondari ya MAGAZIJUTO ndio iko applicable katika daily life la...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Chama cha Watetea Haki za Wanawake huko nchini Australia kinapambana usiku na mchana kuhakikisha kwamba ‘ Sera ‘ ya Wanawake ambao huwa wanapatwa na ‘ maumivu ‘ makubwa au ‘ uchungu ‘ mkubwa...
1 Reactions
2 Replies
860 Views
WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji Prof.Makame Mbarawa amelazimika kupiga kambi katika kijiji cha Levolosi Kata ya Kimnyaki Wilayani Arumeru kwa masaa mawili na nusu akisubiri kisima kinachochimbwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tusaidiane kuwaza
0 Reactions
3 Replies
916 Views
Jamani naomba maana ya hii kauli na mifano hai
0 Reactions
1 Replies
445 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…