Naomba niseme kwa kifupi tu, kwamba chama cha walimu tanzania mungu anawaona,mmesahau kabisa madhumuni yenu,endeleeni tu kutembea kama viongozi wa serikali mnavyotembelea wanachama nasema mnayoyafanya mungu anawaona,nashindwa hata kuyasema mnayoyafanya.ila mungu anawaona nasema.nasema tena mungu anawaona.