Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni kwamba ulinzi wa malaika unaishia kwenye mambo ya kiroho lakini ulinzi wa damu na nyama mabaunsa wanahusika. Kama watumishi wanakuwa na mabogani mpk kwenye madhabahu Yao makanisani huku...
3 Reactions
66 Replies
12K Views
Wanabodi, Kesho natarajia kwenda kumtembelea rafiki yangu mmoja huko mikoa ya kusini. Sasa kwa taarifa nilizo nazo hawa jamaa wa kusini huwa kitoweo chao kikubwa ni nyama ya mbwa na kwa kuwa huyu...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naweza sema katika miaka ya ubora ya binadamu basi ni ujana wake kwa sababu anakua na nguvu kimwili na kiakili. Ndio maana wacheza mpira wengi wanakua hot sana kuanzia miaka 15 hadi 35 atakae zidi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni kipindi kifupi umekuwa Meneja wa Dawasa - Kawe lakini umekuwa msikivu mzuri wa changamoto za eneo lako la kazi. Pia umeonyesha ushirikiano wa kuigwa. Wakazi wa Mwenge ni mashuhuda. Ubarikiwe...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Bei ya petrol katika soko la dunia imepanda. Kwa mujibu wa gazeti la The East African bei hiyo ilikaribia dola mia moja (100) kwa pipa. Hii inamaanisha kuna uwezekano wa bei ya petroli kupanda...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Umoja wa wenye Daladala umemuomba mkuu wa mkoa wa Dsm mh Makonda awashirikishe katika mkutano wake atakaoufanya na wadau wa Udart. Mwenyekiti wa umoja huo amesema wameandaa utaratibu...
8 Reactions
22 Replies
6K Views
Leo nimekumbuka yule jamaa aliyetembea kwa miguu kutoka Mbeya mpaka Dar. Clouds media thru clouds fm walihost Ile issue live, baada ya jamaa kuwasili Dar, Leo nimetafakari safari ya Mby-Dar kwa...
4 Reactions
27 Replies
5K Views
Watu wengi myopic hua hawaoni vitu kwa mtazamo mkubwa(bigger picture). Ukiangalia matukio yanayotokea zama hizi ndio utaelewa watu kama Gwajima walishtuka mapema wakaandaa security details yao...
7 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuna watu wanalipwa mshahara mzuri tu alafu muda wa kazi ni mchache sana lakini walivyokuwa wapumbavu ati wanataka waonekane na wao wamejiajiri tu hata kama hamna wanalopata. Ukijiona unapata...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanabodi kituo cha TBC1 leo kinaonesha moja kwa moja tukio la uhamaji wa nyumbu na wanyama wengine wengine wakirejea Serengeti Wanadai tukio hili linauhusiano na mwanadamu wa kale kwani wanadamu...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Hebu fikiria siku ambayo halaiki ya watu imekodoa macho kuangalia matendo yako yote yaliyo ya wazi na yale ya siri. Hebu piga picha yule rafiki yako uliyemchukulia mke wake anakuona unazini na...
10 Reactions
71 Replies
6K Views
Jeshi la Polisi Mkoani Katavi linamsaka Hamim Mussa na wenzake wawili wakituhumiwa kuwanywesha wananchi maji yanayodaiwa kuwa ya Baraka katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Mpanda Mjini na...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Memory Njemani ameamua kuolewa na mwanaye wa kiume ili kufidia gharama za kumsomesha, akisema hawezi kumruhusu mwanamke mwengine aje atumie naye baada ya...
0 Reactions
66 Replies
9K Views
Muda huu wa mchana, TBC1 iko live ikionyesha jinsi wanyama Nyumbu wanavyohama toka Hifadhi ya Taifa ya Masai Mara kuja Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Huu ni ubadhirifu mkubwa wa kodi zetu. Aibu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Nã Malisa GJ Kijana Erick Raphael Msyaliha, anayeishi Sinza (Mugabe) usiku wa tar.13/03/2017 alifuatwa nyumbani kwake na watu wanaodhaniwa kuwa Polisi ambao walimchukua wakihitaji maelezo kutoka...
12 Reactions
56 Replies
6K Views
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. William Ole Nasha ameitaka Mamlaka ya Elimu Tanzania, (TEA) kuanza kutumia utaratibu wa Force Akaunti katika utekelezaji wa miradi ya Elimu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau mimi nilikuwa naomba ufafanuzi tu wa jinsi kiinua mgongo ukokotolewa naogopa kuzulumiwa haki zangu. Natakiwa kwenda kuhakiki ofisini
0 Reactions
5 Replies
11K Views
One day a farmer's donkey fell down into a well. The animal cried piteously for hours as the farmer tried to figure out what to do. Finally, he decided the animal was old, and the well needed to...
2 Reactions
6 Replies
882 Views
Kwa sasa tunaishi maisha ya kizungu, ya kuwa na vyakula na vinywaji kwenye majokofu. Huu ni ustaarabu ulioletwa na wazungu na umeenea maeneo yote duniani. Kwa Nchi masikini kama Tanzania, majokofu...
20 Reactions
137 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…