wanabodi,
Leo nimemtembelea mshikaji wangu mmoja huku mikoa ya kusini.Kiukweli huyu jamaa tunafahamiana sana toka utotoni na nilikuwa nikimkubali sana jinsi alivyokuwa na uwezo mzuri wa kufikiri...
TAKWIMU zilizotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) zinaonesha kuwa hadi mwaka 2017, watu 472 wameshahukumiwa adhabu ya kifo, kati yao wanaume ni 452 na wanawake 20.
Akizungumza...
wale wanawake......ambao walikuwa....wana mageto...yao maeneo ya buguruni...sokoni ambao walikuwa wakitoa huduma kwa jamii kwa njia ya kujiuza vichochoroni ......maeneo hayo wametimuliwa na...
Nashukuru kwa huduma zenu pia kwa heshima na taadhima nipende kukushukuru sana ndugu(ofisa wa NIDA) niliyekutana nae Leo pale ofisi ni, NASHUKURU SANA MKUU KWA KUWA MUELEWA NA MUWAZI, MUNGU...
Mchungaji wa Kanisa la Evangelist Assemblies of God Tanzania (EAGT) la Sirari, tarafa ya Inchugu wilayani Tarime mkoani Mara, Nestory Papaa amefariki dunia wakati akimwombea marehemu katika mji wa...
Wadau amani iwe kwenu.
Kwa wanaume ambao tunafanya shughuli za hapa na pale za kujipatia kipato, tumezoea kuwa na hela muda wote mfukoni. Hata hivyo, inapotokea siku umekosa kabisa fedha mfukoni...
Niende kwenye mada
Tbs ilisema kila gari litakaloingia nchini ni lazima likaguliwe Na lipewe certificate (Roadworth inspection) inayofanywa na makampuni waliyoingia nayo mkataba ya huko nje.
Sasa...
Moshi. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imemburuza kortini ofisa manunuzi wa Wakala wa Barabara (Tarura) Manispaa ya Moshi, Samwel Mseselo kwa tuhuma za ubadhirifu wa Sh7.7...
Majuzi nilileta uzi humu kwamba kuna pesa nimezipata kwenye ATM nilipokwenda kufanya muamala usiku. Pesa hizo ziliachwa na mtu ambaye naamini alikua amezidiwa na kilevi
Nilipata ushauri mwingi wa...
Invisible, Uzi huu unajitegemea usichanganywe na Uzi mwingine wowote.
Matukio ya kutekwa Siku za karibuni yameshamiri, wametekwa wengi na wamepotezwa wengi na watu wasiojulikana.
Walitekwa kina...
Watu waliotekwa au kutoweka katika mazingira ya kutatanisha mpaka sasa wamekuwa wengi,wengine wakipatikana na wengine mpaka leo hawajulikani walipo.
Swali langu ni je,katika wale waliowahi...
Stiegler`s George project set to ease power woes
A serious power shortage facing Tanzania now could be a history in the near future after the completion of a huge Stieglers Gorge Power...
Watu waovu mara nyingi hufanya mambo yao usiku maana watu wanakuwa wamelala hivyo wanapata na nafasi ya kutekeleza vitendo vya kihalifu kama ujambazi,kuwatelekeza watu waliowafanyia mambo...
Driver wa Gari namba T51..DMH nicheki inbox....nina zawadi yako!
Ku-prove wewe ni muhusika itabidi umalizie namba iliyoachwa wazi hapo na useme ni gari aina gani..
Hint: Ulikua unaendesha...
Mmekuwa mkisikika mara kwa mara kwa kutoa unabii, utabiri na hata kutahadharisha jabo fulani baya/zuri.
Na wenzetu wale wa kalete kuku mwekundi nao mmekuwa mkipiga ramri mbali mbali kwa manufaa...
Devin Gaines alizaliwa Julai 16, mwaka 1984 alifariki tarehe 10 julai, 2007.
Alikuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Connecticut ambaye alivunja rekodi ya kutunukiwa degree 5 ( Bachelor degree) kwa...
Wakuu pamoja na kuondoa taarifa zao zote za habari za asubuhi na jioni, na kutokuwepo kwa local chanels lakini kwa mujibu wa wanaotumia Azam wanasema bei bado imesimama palepale.
Sasa kwa sisi...