Nitafute....(Zawadi nono inakungoja)

mfawidhi

JF-Expert Member
Nov 11, 2014
247
264
Driver wa Gari namba T51..DMH nicheki inbox....nina zawadi yako!

Ku-prove wewe ni muhusika itabidi umalizie namba iliyoachwa wazi hapo na useme ni gari aina gani..

Hint: Ulikua unaendesha kwenye hii stretch: Africana - Njia panda ya kawe leo asubuhi (between 6:40 - 7:00am). Seat ya pembeni yako alikuepo nduguyo (judging from resemblence between you two) na seat ya nyuma alikuepo kijana.
 
Ha ha ha haaaa.... Yaani akupe nduguye? Wanawake mbona wapo wengi mkuu, taabu yote ya nini hiyo?

Halafu hapo juu kwenye heading ungeweka hiyo namba ili kurahisisha nani akutafute.
 
Ataogopa sikuhz watekaji wengi ..we sema tu unamtafutia nn
 
Back
Top Bottom