Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Swali : Mohamed Dewij ni nani Jibu: ni mfanyabiashara Swali: Nini kimemtokea Jibu: Inasemekana katekwa lakini inawezekana akawa amekamatwa. Swali: Unamaanisha nini? Jibu: nahusisha na mazingira...
5 Reactions
5 Replies
4K Views
Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza zako tu Kutiriririka na Kuserereka ili unielimishe zaidi Mimi GENTAMYCINE na hiyo Kauli ' Kuntu ' kabisa ya Tanzania ni nchi ya Amani na Upendo...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Jana TBC wakati twaugulia ya 'Mo' na wengi waliotekwa au kupotea; katika kipindi cha 'tunatekeleza' alikuwapo Kangi Lugora waziri wa mambo ya ndani. Katika ya kushangaza aliyoyasema waziri huyu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
A Peruvian man has divorced his wife after discovering intimate photos of her with another man on Google Maps. The man had been researching the best way to reach a popular bridge in Lima, the...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Nakumbuka alisema Darasani kwamba siku zote mkiwa katika Watu wengi halafu ukataka Kumjua ' Mhalifu ' kwa haraka sana basi ukiona tu Mtu mmoja kati yenu ndiyo anapenda sana ' Kujitokeza ' huku na...
8 Reactions
49 Replies
6K Views
Mzuqa, Ndege ya Boeing 757 inayobeba abiria zaidi ya miambili ikitua cape Verde. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ I Sit not to be corrected.
9 Reactions
105 Replies
16K Views
Leo October 11, 2018 Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limemkamata Frank Samweli kwa tuhuma za kusafirishwa Dawa za Kulevya aina ya Mirungi Kilo 207 ambapo mtuhumiwa huyo amekamatwa baada ya...
2 Reactions
46 Replies
9K Views
African Export Import Bank (Afreximbank) ya Misri, imeonyesha nia ya kuipatia Tanzania mkopo wa zaidi ya Shilingi trilioni moja (dola za Marekani zaidi ya milioni 500) kwa ajili ya kutekeleza...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
wanabodi, Leo nimemtembelea mshikaji wangu mmoja huku mikoa ya kusini.Kiukweli huyu jamaa tunafahamiana sana toka utotoni na nilikuwa nikimkubali sana jinsi alivyokuwa na uwezo mzuri wa kufikiri...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
TAKWIMU zilizotolewa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) zinaonesha kuwa hadi mwaka 2017, watu 472 wameshahukumiwa adhabu ya kifo, kati yao wanaume ni 452 na wanawake 20. Akizungumza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wale wanawake......ambao walikuwa....wana mageto...yao maeneo ya buguruni...sokoni ambao walikuwa wakitoa huduma kwa jamii kwa njia ya kujiuza vichochoroni ......maeneo hayo wametimuliwa na...
1 Reactions
47 Replies
78K Views
Nashukuru kwa huduma zenu pia kwa heshima na taadhima nipende kukushukuru sana ndugu(ofisa wa NIDA) niliyekutana nae Leo pale ofisi ni, NASHUKURU SANA MKUU KWA KUWA MUELEWA NA MUWAZI, MUNGU...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Mchungaji wa Kanisa la Evangelist Assemblies of God Tanzania (EAGT) la Sirari, tarafa ya Inchugu wilayani Tarime mkoani Mara, Nestory Papaa amefariki dunia wakati akimwombea marehemu katika mji wa...
0 Reactions
87 Replies
11K Views
Wadau amani iwe kwenu. Kwa wanaume ambao tunafanya shughuli za hapa na pale za kujipatia kipato, tumezoea kuwa na hela muda wote mfukoni. Hata hivyo, inapotokea siku umekosa kabisa fedha mfukoni...
6 Reactions
38 Replies
6K Views
Niende kwenye mada Tbs ilisema kila gari litakaloingia nchini ni lazima likaguliwe Na lipewe certificate (Roadworth inspection) inayofanywa na makampuni waliyoingia nayo mkataba ya huko nje. Sasa...
1 Reactions
1 Replies
987 Views
Moshi. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imemburuza kortini ofisa manunuzi wa Wakala wa Barabara (Tarura) Manispaa ya Moshi, Samwel Mseselo kwa tuhuma za ubadhirifu wa Sh7.7...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Majuzi nilileta uzi humu kwamba kuna pesa nimezipata kwenye ATM nilipokwenda kufanya muamala usiku. Pesa hizo ziliachwa na mtu ambaye naamini alikua amezidiwa na kilevi Nilipata ushauri mwingi wa...
27 Reactions
146 Replies
12K Views
Invisible, Uzi huu unajitegemea usichanganywe na Uzi mwingine wowote. Matukio ya kutekwa Siku za karibuni yameshamiri, wametekwa wengi na wamepotezwa wengi na watu wasiojulikana. Walitekwa kina...
18 Reactions
43 Replies
6K Views
Kuna raia wengi hua nawasikia eti wanasema bora mchawi kuliko muongo!!! Hivi hawajawahi kurogwa??
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Watu waliotekwa au kutoweka katika mazingira ya kutatanisha mpaka sasa wamekuwa wengi,wengine wakipatikana na wengine mpaka leo hawajulikani walipo. Swali langu ni je,katika wale waliowahi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…