Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,510
- 6,893
Ni kweli zipo hofu bandia zilizopandikizwa na wanasiasa zinazotufanya tufanye tusivotaka kuvifanya na kuogopa kufanya tunavyopaswa kuvifanya
Haya maswali yamekuja kichwani mwangu baada ya kumsikia katibu mkuu wa ccm akieleza kuwa kuna watu hapa tz wamefanikiwa kuziingiza hofu zao binafsi kuwa ndo hofu zetu
Je, ni kweli watanzania hizi hofu tulizo nazo nyingi ni hofu hewa na kuna njia gani ya kuziondoa tukabaki na hofu zetu halisi
Kupitia Uzi huu naomba tuelezane baadhi ya hofu bandia zilizofanikiwa kupandikizwa na wanasiasa hasa hawa wa upinzani na ikiwezekana kushauri namna ya kuziondoa hofu hizo miongoni mwetu