getrusa
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 2,150
- 1,824
Yamkini ni tafakauri isiyo na maana ama ni upungufu wa Elimu na maarifa..
Lakini naomba kujuzwa kama mimea ni viumbe hai kwa maana inakula na kupumua. Ikivuta hewa ya chafu kwetu na kuachia hewa tunayoitumia sisi je.
Viumbe hai hivi huwa vinalala usingizi.?
Na kama huwa mimea inalala je ni saa ngapi hulala huo usingizi?
Je kwa kawaida mti unaweza kuishi kwa miaka mingapi?