Hivi thamani ya maisha ni nini?

Hivi thamani ya maisha ni nini?

Kwa upande wangu " Ukiachana na UCHUMI BORA .. FAMILIAR BORA .. MAHUSIANO BORA NA MPENZI
/NDUGU /JAMAA NA MARAFIKI ... na chelea kusema kwamba .. maisha yange kuwa na maana kama pasinge kuwa na uwepo wa KIFO ... huwa naona kuwa KIFO kimeyatia doa Maisha ambayo mfano wake ni sawa na kitambaa cheupe ... kikisha kuwa na Doa thamani yake hutoweka ....

i' m sorry to say this .... bado sijaiona thamani ya maisha wakati kuna uwepo wa kifo
 
Furaha, ila hili linachangiwa na mengi mfano kuwa well of kiuchumi, kukubalika na jamii na kuwa na afya njema!
Thats what i see from my point of view!
Once you are a child of God you will be accepted by many for your actions, you shall never run out and f your necessities
 
Ni kweli ila i don't believe being a child of God only can bring something on the table, stability ya kiuchumi ni very essential katika kuleta furaha ya mtu hasa kwa dunia ya leo. Huna pesa utadharaulika mpaka na mtoto unaeweza kumzaa, unakosa thamani katika jamii na hata mahitaji yako muhimu utashindwa timiza kisha kuanza kukosa afya njema ya akili!
 
Wewe kuwepo hapa duniani ni mpango wa Mungu.
Hivyo, jitahidi umjue yeye alikuweka ili upate kutambo the real purpose of life.
 
Ni kweli ila i don't believe being a child of God only can bring something on the table, stability ya kiuchumi ni very essential katika kuleta furaha ya mtu hasa kwa dunia ya leo. Huna pesa utadharaulika mpaka na mtoto unaeweza kumzaa, unakosa thamani katika jamii na hata mahitaji yako muhimu utashindwa timiza kisha kuanza kukosa afya njema ya akili!
Well through experience i have been in contact with people who offered me jobs when the chances were to narrow. Working hard is vital too
 
Ni kweli ila i don't believe being a child of God only can bring something on the table, stability ya kiuchumi ni very essential katika kuleta furaha ya mtu hasa kwa dunia ya leo. Huna pesa utadharaulika mpaka na mtoto unaeweza kumzaa, unakosa thamani katika jamii na hata mahitaji yako muhimu utashindwa timiza kisha kuanza kukosa afya njema ya akili!
umesema jambo linalo ishi kwenye ulimwengu wa sasa
 
Yeah mkuu, ukweli upo wazi...Ni gharama sana kukosa chanzo cha kipato ama shughuli halali ya kuingiza hela itakayokuwezesha kumudu maisha na kufanya maendeleo. Hali hiyo naweza kuifananisha na ulemavu wa kiuchumi ambao hupelekea umaskini wa afya ya mwili na akili. Sasa ukijawa na stress na maradhi utakuwaje na furaha mkuu!
 
Karibu kusoma masomo ya kujitambua wewe ni nani? Upo wapi ? Ulitoka wapi? Kwanini uko hapa? Na unaelekea wapi
Ukijibu hayo maswali utajua Kusudi lako ni lipi hapa dunia..
Soma kitabu cha Rick Warren
Purpose driven to Life (sijui Niko sahihi)
Pia soma Katekismu Takatifu ya Katoliki
 
Yeah mkuu, ukweli upo wazi...Ni gharama sana kukosa chanzo cha kipato ama shughuli halali ya kuingiza hela itakayokuwezesha kumudu maisha na kufanya maendeleo. Hali hiyo naweza kuifananisha na ulemavu wa kiuchumi ambao hupelekea umaskini wa afya ya mwili na akili. Sasa ukijawa na stress na maradhi utakuwaje na furaha mkuu!
furaha itatoka wapi chief .. labda kama uwe bado kwenye kundi la ujinga
 
Back
Top Bottom