johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Ile ya ".......fyekelea mbali" na "......weka ndani" ni matamshi yaliyotoka kikazi zaidi japokuwa tigo wameyachukua na kuyatumia kibiashara. Mwanri anapaswa kuyasajili mstamshi haya na kuyamiliki kisheria ili tigo wamlipe mrabaha......nawaza tu!