Dewji: Hakuna Kitu kinaua Urafiki kama Mikopo!!

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,302
23,020
Mo kakopesha shiling ngapi mpaka kichwa kina muuma??

Hawa watakuwa viongozi wa simba tu.

Kiukweli ukitaka kugombana na rafiki yako mkopeshe alafu uwe unamdai huku wewe ukiwa huna pesa na yeye akiwa hana.

Urafiki utaisha hapohapo.
Screenshot_2018-09-27-09-33-41-745_com.instagram.android.jpeg
 
Mo kakopesha shiling ngapi mpaka kichwa kina muuma??

Hawa watakuwa viongozi wa simba tu.

Kiukweli ukitaka kugombana na rafiki yako mkopeshe alafu uwe unamdai huku wewe ukiwa huna pesa na yeye akiwa hana.

Urafiki utaisha hapohapo.View attachment 879178

Rafiki hata kama anayo kukulipa inakuwaga ni shida ila wakati wa kukopa ohooo utamwonea huruma
 
Mimi nimeacha kukopesha. Kama nina nia ya kukusaidia nakwambia. Kwa kuwa umeomba laki mbili, hiyo pesa sina ila ipo laki moja hapa njoo tu nikupe hiyo bure wala sikukopeshi. Nikishakupa hiyo kilo, najua kwenye kumbu kumbu zangu itafutika kuliko nikukopeshe elfu hamsini alafu usinilipe nakuwa naiwazia full...
 
Mimi jamaa toka mwezi wa 5 mwaka Jana hadi Leo.
Nilimtishia kwenda Polisi akasema atalipa hii wiki ya pili sasa.
Juzi kati nimesikia kauza nguruwe wake 20 bado hata SMS hanitumii.
Yaani nikikumbuka jinsi huyu dogo tulikotoka basi tu.
Na kila siku anaenda home kwa mother kujidai anamsalimia na kuleta shobo kwa ndugu zangu
 
Mimi kwa rafiki kama ananikopa akiwa na shida ya kutatua tatizo la ugumu wa maisha (kuumwa, kufiwa, hela ya kula) huwa nampatia tu kama ninayo na wala sihesabu kama mkopo na itarudi.

Ila kama ni mkopo kwaajili ya kuzalisha kipato...huwa nakua muangalifu kumkopesha na nikiwa na mashaka amueleza ukweli na simkopeshi. Labda tuwe pamoja katika utekelezaji.

Marafiki ni watu muhimu sana katika maisha yetu na huwa kuna kitu kinatuunganisha nao japo inatakiwa tufahamu sio kila mtu anafaa kuwa rafiki wa karibu.
 
Umenikumbusha kuna mmoja nilimkopesha 50k akaniambia mshahara ukitoka atarejesha.

Mshahara umetoka mara ooh mke wangu ujauzito unamsumbua mara hana bima.

Namsikilizia mshahara ujao
Salary inaingia lakini bado anakwambia mkuu nivumilie bado sijapata ule mzigo.
 
Ila ukitaka rafiki asikukope tena, fanya hivi

Akikukopa laki moja, mwambie una 50k.

Alafu ukiona harudishi unamkumbusha akisema hana mpotezee.

Huyo hakukopi tenaaaaaaa!!

Mana akitaka kukopa anajua anadeni kwako.

Sometime natumia mbinu hii kwa wasumbufu
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom