Usiku wa nasaha

Usiku wa nasaha

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Posts
2,910
Reaction score
3,024
Assalaam Alaykum

wandg,nataraji mpo salama

Naomba mpokee neno dogo tu kutoka kwangu,huenda likawa na faida kwetu sote
naaam,huenda....

Elewa ewe ndg

KILA NEEMA,HAIKOSI KUWA NA HASIDI

NA KILA HAKI,HAIKOSI KUWA NA MPINGAJI

HAKIKA YA MAMBO YALIVYO
HUWEZI KUMRIDHISHA KILA MTU KTK JUKWAA HILI LA ULIMWENGU

BALI FANYA WEMA KADIRI YA UWEZO WAKO
WALA USINGOJE SHUKRAN

KWASABABU
NI WACHACHE SANA WENYE KUSHUKURU

nawatakia usiku mwema
 
USIKU WA NASAHA

Assalaam Alaykum
Wandg,nataraji mpo salama,poleni sana na mihangaiko ya hapa na pale

zawadi yangu kwenu kwa usiku huu
ni:-

MOYO,NI SAWA NA CHUMBA KILICHOKUWA KITUPU,
NI CHAGUO LAKO,NI KIPI CHA KUWEKA NDANI YAKE.

UKIWEKA KILICHOKUWA KIZURI,BASI MWILI UTAAKISI UZURI HUO NA KUONEKWA MBELE NA WATU

NA UKIWEKA KILICHOKUWA KIBAYA,KADHALIKA MWILI UTAAKISI UBAYA HUO NA KUONEKANWA NA WATU

moja ya viunge vyenye kuashiria yaliyo ndani ya moyo,ni ulimi wako

Yatamkwayo na ulimi mara nyingi,ndio hayo yanayopatikana katika moyo huo

nawatakia usiku mwema
 
Assalaam Alaykum

Wandg
nataraji mpo na furaha pmja na familia zenu

neno la leo kwa usiku huu

USIANGALIE UDOGO WA DHAMBI/KOSA!!!
BALI,MUANGALIE YULE UNAE MKOSEA



nawatakia usiku mwema
 
[emoji524] *USIKU WA NENO*[emoji524]

```Nyenyekea mbele ya haki/usawa```

```utakuwa miongoni mwa watu wenye akili```

_Haki huwa ni moja tu..._
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom