Gentlewoman
Senior Member
- Aug 13, 2018
- 192
- 393
Habari za weekend wakuu,
Leo nimeona tukumbushie enzi zilee,unacheza kombolela,lede,ukihisi kiu unakunywa maji ya kwenye mtungi.
Watoto wa kishua hamuwezi elewa hii kitu,wangapi wameshawahi tumia tukumbushane.
Unakumbuka miaka gani,ukiona hii
Enzi za mwinyi,nyerere au mkapa?ilikuwaje?