Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,204
Nuclear bomb iliyosababisha mauaji ya kutisha pale Hiroshima na nagasaki yote ni kazi ya binadamu
Ukija kwenye mashine gun ya AK 47 ndio silaha yenye Record ya kuua watu wengi zaidi hapa duniani nayo ni kazi ya binadamu
Vita zilizoacha alama kama vile ile vita ya marekani na vietnam bila kusahau vita ya kwanza ya dunia na ile ya pili zote ziliua mamilioni ya watu na waliokuwa kwenye vita ni binadamu wenyewe,
Ni bora ukae na mnyama mkali porini kwa sababu ata akikudhuru ni kwa sababu ya kujihami kwake kuliko binadamu mwenye tabasamu anakuchekea Usoni lakini moyoni ni zaidi mbwa mwitu,
R.i.P Malcom X,
R.i.p mawazo
Wako wapi ndugu zetu
Ben saanane
Azory gwanda
Mo ibrahimu
Yote ni kazi ya binadamu .