proff g
Senior Member
- Jul 16, 2016
- 153
- 117
Tangu awamu ya tano ilipoa anza kumekuwepo na matendo ya unyanyasaji kwa kwa watumishi hasa wa umma pamoja na secta binafsi, viongozi wa serikali wengi wamekuwa wakitumia madaraka yao vibaya kunyanyasa kundi hili dogo katika nchi yetu hii, mbaya zaidi mtetezi wetu MKUU ambaye ni TUCTA naye amekaa kimya mbaya zaidi vyama vya wafanyakazi vyenyewe ndo vinapumulia mipila ICU. Kilicho nifanya nisikitike zaidi ni kauli ya waziri MKUU mh kasim majaliwa kudai watumishi wa umma wamesababisha chama cha c.c.m kupata kura chache katika uchaguzi wa mwaka 2015, swali je zile karatasi za kupigia kura zinataja na kazi ya mtu , mwisho tunyanyaseni kwakuwa watoto wenu wengi wana uhakika wa maisha mazuri na kupata Huduma nzuri na kufanya wananchi kuendelea kupata Huduma mbaya kwa sababu yakuwakandamiza watumishi wa umma