Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,938
Habarini!
Suala la ahadi limevunja urafiki, undugu, na hata wengine kukimbia nyumba za ibada.
Tatizo ni nini hasa?
Tatizo sio kuahidi au kutoa nadhiri, tatizo ni kutoa ahadi kwa mhemko.
Kabla hujatoa ahadi lazima uangalie uchumi wako hasa, kama suala linahusu fedha au Mali, kama linahitaji muda basi tazama ratiba yako vizuri.
Kama suala linahitaji maamuzi ya watu kadhaa au familia usitoe ahadi haraka.
Asanteni, nawasilisha.