christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,341
- 5,493
Jana umeme umekatika kuanzia asubuhi ukarudi saa kumi kasoro.
Leo hapa nipo zangu live naangalio hotuba ya raisi akiongea na wachezaji wa taifa stars, umeme umekatika na hatujui utarudi saa ngapi, hii kero tulishaanza kuisahau lakini naona kama huku Arusha kama bado hivi.
Mwanza tanesco wakitaka kukata umeme achalia mbali emergency ya dakika moja wananchi tunatangaziwa sasa huku Arusha naona kama kuna tatizo hivi.