Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,618
Ni ukweli usiopingika; kwamba mtoto aliyelelewa kikatili hata akikua ni ngumu kuiacha hiyo tabia.
Vivyo hivyo mtoto aliyekulia mazingira ya kuchunga wanyama ... ukubwani anakuwa na tabia fulani za kinyama kinyama.
Jambo hili liangalie kwa jicho la tatu; uone watu wa jamii fulani na tabia zao.
Tunawezaje kujenga jamii yenye mwelekeo sawa kama taifa?