Yuko wapi Makongoro Nyerere?

Yuko wapi Makongoro Nyerere?

Emmaloy

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Posts
216
Reaction score
231
Tangu kuisha kwa uchaguzi mkuu wa raisi, wabunge na madiwani mwaka 2015 sijamsikia tena huyu jamaa. Sijui yuko wapi na anafanya mchakato gani, mwenye kujua zaidi naomba anijuze
 
Yupo na yeye yupo mpaka juzi yupo na ankali.
 
Itakua uangalii hata vyombo vya habari, hata huku JF ni mgeni, mpaka amechaguliwa kuwa Mjumbe wa kamati kuu CCM ujamuona wewe
 
Mzee PF Kama sijakosea, hii ngoma tupia kule kwenye jukwaa la siasa, humu weng si wapenz/wajuv wa haya mambo,
 
Tangu kuisha kwa uchaguzi mkuu wa raisi, wabunge na madiwani mwaka 2015 sijamsikia tena huyu jamaa. Sijui yuko wapi na anafanya mchakato gani, mwenye kujua zaidi naomba anijuze
Juzi tu jimbo la Ukonga alikuwepo kwenye kampeni za maccm.

By the way Makongoro anakula faida tu za kuitwa mtoto wa Nyerere.
 
Tangu kuisha kwa uchaguzi mkuu wa raisi, wabunge na madiwani mwaka 2015 sijamsikia tena huyu jamaa. Sijui yuko wapi na anafanya mchakato gani, mwenye kujua zaidi naomba anijuze

Mara yako ya mwisho kuwaulizia Ndugu zako huko Kijijini ilikuwa ni lini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom