Kitabu cha Membe kinaitwaje na kinahusu nini?

Mkuu wa Kibiti

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
777
Reaction score
1,140
Wana jamvi kuna taarifa kuwa Benard Membe ameandika kitabu sijajua kitabu kinaitwaje na kinahusu nini hasa.Mwenye kujua hebu tupe walau mawili matatu juu ya kitabu hicho.
Nawasilisha
 
Sidhani kama Membe na enough qualifications ya kuandika kitabu labda tungesema kitini cha membe au vijikaratasi vya membe

Kitabu sio kitoto jamani
 
Hiyo taarifa umeipata wapi? Fafanua. Na kwa nini hukutumia fursa hiyo kujua undani wa hiyo kitu.
 
Sidhani kama Membe na enough qualifications ya kuandika kitabu labda tungesema kitini cha membe au vijikaratasi vya membe

Kitabu sio kitoto jamani
Sio lazima uwe na qualification unaweza kutafuta wanaoweza ukaandika juu ya maisha yako. Btw wewe una-qualifications gani kiasi cha kum-doubt Membe?
 
S
Sidhani kama Membe na enough qualifications ya kuandika kitabu labda tungesema kitini cha membe au vijikaratasi vya membe

Kitabu sio kitoto jamani
Sio lazima aandike yeye mwenyewe,anatafuta wataalamu na kuwapa mawazo yake ndio wanaandika
 
Back
Top Bottom