Wajuzi wa mambo, Puma energy Tanzania ltd ni kampuni ya serikali?

Serikali ilikua inashikilia asilimia 50 ya BP Tanzania ,BP wakauza biashara kwa Puma energy Tanzania ,kwaiyo saivi wamiliki ni Puma na serikali ..nusu kwa nusu , nadhan walikubaliana serikali itashikilia haki ya kuteua chair wa bodi.
Note hii Puma tz ni subsidiary ya Puma international , kila nchi wanayofanya biashara wanaunda kampuni kwaajili ya nchi hiyo
 
Back
Top Bottom