Msomi hewa
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 768
- 1,067
Kwa muda mrefu binadamu amekua akijiuliza maswali ama angependa kufahamu mambo yafuatayo:
*_Nini chanzo cha uhai?_*
*_Nani mwanzilishi wa ulimwengu?_*
*_Dhumuni la kuishi ni lipi?_*
*_Je kifo ndio mwisho wa bin adam?_*
*_Je kuna maisha baada ya kifo_*
Kutoka na bin adam kuwa na ukomo katika kufikiri kwake akaja na majibu ya fuatayo:
*Lazima ulimwengu unacho chanzo, Na hicho chanzo ndicho tunachokisoma kwenye Genesis(Katika Uumbaji)*
*Uhai ni zawadi*
*Dhumuni la kuishi ni kuabudu*
*Kifo si mwisho wa uhai bali ni Mwanzo wa Maisha mapya*
*Ndio kuna maisha baada ya kifo, Na ni Eternal life*
_Katika kuzielezea hizo nadharia bin adamu akasema ya kwamba Vyote vilivyopo ulimwenguni Chanzo chake ni 'MUNGU'_
*Shida iko hapa*:
*_Katika kumuelezea huyo 'MUNGU', bin adam akajikuta anatengeneza kiumbe cha hovyo kuwahi kuwepo Ulimwenguni_*
_Alijikuta akiweka matamanio yake katika kumuelezea huyo 'MUNGU'_, Yaan labda alitakiwa awe hivi ama awe vile, *Na ndio maama Upo mkanganyiko juu Ya Tabia na hulka ya 'MUNGU' Kila dini inajaribu Kuonyesha 'MUNGU', alitakiwa aweje Kulingana na Mitazamo yao*
*_NIONAVYO BINAFSI_*:
_Ulimwengu unacho chanzo japo hakithibitishiki_
_Dhumuni la maisha ni kutafuta furaha yako_
_Ulimwengu unae kiongozi, Probably anaweza kuwa 'MUNGU', ila kwenye sifa za 'MUNGU' waandishi walikosea kumtafsiri_
_Sina hakika kama kuna maisha baada ya Uhai_
GREEN.