90% walitoa rushwa je Membe hakutoa?

90% walitoa rushwa je Membe hakutoa?

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
8,873
Reaction score
1,925
Habari za wazi ni kwamba 90 % walio chaguliwa kuwa wa NEC wa CCM walitoa rushwa.Kwa tukio la juzi Membe kukodi ndege kwenda Mwanza kutoa 40mn kwenye kila kikundi cha kihuni kule Mwanza kinanifanya niulize kama hakupata u NEC kwa pesa chafu.Jamani wana JF msaada wenu ili tumjue Membe ambayo ni dear na chaguo la Mfalme kwenye Urais Tanzania 2015
 
Hivi anapo sema flani alitoa rushwa ukiambiwa haya thibitisha ehe itakuwaje .
 
Back
Top Bottom