Mji wa Iringa ukiuelewa ndo utaupenda!

Mji wa Iringa ukiuelewa ndo utaupenda!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,583
Reaction score
27,838
Ukielewa kwa nini umejengwa hivyo basi utaupenda, Mji wa Iringa ni ,,ngome” ulijengwa hivyo ili kuwalinda wananchi wake dhidi ya wavamizi ndo maana ukitaka kuingia Iringa city unapanda Mlima hivyo askari walikuwa wanakuona tangia unakuja huko chini na kukushambulia.

Binafsi ndo mji mzuri TZ hasa ukiuelewa kwa nini umejengwa hivyo.

Nitarudi tena Iringa!
 
Basi siku ya wafanyakazi tuutangaze kuwa jiji
 
Iringa haina uzuri wowote!!! Mji umebarikiwa baridi, mandhari mbovu, ukimwi una uzuri gani? Ukiondoa Ruaha National Park Iringa haina kitu cha kujivunia. Wanapaluhengo nawaonea huruma!!!
Udzungwa ipo kwenu bariadi? Isimila ipo huko kwenu eeeh? Mtera je? Sao hill msitu mkubwa afrika masharik upo kwenu? Mlima kitonga je? Mkwawa ana makumbusho huko kwenu?
 
Ukielewa kwa nini umejengwa hivyo basi utaupenda, Mji wa Iringa ni ,,ngome” ulijengwa hivyo ili kuwalinda wananchi wake dhidi ya wavamizi ndo maana ukitaka kuingia Iringa city unapanda Mlima hivyo askari walikuwa wanakuona tangia unakuja huko chini na kukushambulia.

Binafsi ndo mji mzuri TZ hasa ukiuelewa kwa nini umejengwa hivyo.

Nitarudi tena Iringa!
Safi sana mkuu, nilivokuwa iringa nlikuwa naona mji wa kawaida ila baada ya kukutwa na vumbi mbeya, maji chumvi Dodoma,typhoid morogoro nikazid kuupenda mji wangu huo
 
Mji huo naupendaga nikifika maeneo ya CCM tu....wenyeji watanielewa[emoji39][emoji39][emoji39]
Pale chama kilicheza vzr sana ile sehemu bhana hata uwe chama kipi lazima uipende tu.

Kuna haja ya kuifanya kituo cha watalii.
 
Back
Top Bottom