Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, mimi ni mkazi wa Tandika Mwembeyanga jijini DSM, mara kadhaa nimewaona wadada na wamama wa huku Tandika wale ambao ni wajawazito wakihaha kutafuta udongo ambao huutumia kama chakula...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari Za Weekend Wakuu, Leo ni zamu ya Unpopular Opinion JF Edition Toa wazo lako lolote kuhusu maisha, mapenzi, kazi, biashara au JF ambalo unaliamin na kukubaliana nalo ila watu wengi...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Jumuiya ya kimataifa yashtushwa na tamko la Makonda.Balozi wa Umoja wa Mataifa anaye simamia Haki za Binadamu Michelle Bachelet Ijumaa amesema ameshtushwa na tamko la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
0 Reactions
3 Replies
955 Views
Habari wana JF. Kumetokea maneno mengi mitandaoni kuhushu msimamo wa Rais kuhusu katiba mpya na kuwalaumu sana washauri wake wakiwemo mawaziri haswaa Waziri Kabudi. Kwa maoni yangu kama raia huru...
0 Reactions
0 Replies
472 Views
Baada ya msanii Dudubaya kujipa kazi ya kuwataja hadharani waandishi wa habari mashoga Emmanuel Mbasha naye ametangaza kuitisha press ili awataje Watumishi wa mungu mashoga. Swali je ni nani...
2 Reactions
51 Replies
11K Views
Kinachoonekana ni Dudu baya oil chafu kupigwa vitisho na asiweze kutoa list nyingine zaidi Sie watanzania tupo nawewe, wala usisite na usitishwe na kauli za watoa mtandao wetu pendwa Tunaomba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Taja nchi yoyote ile duniani ukiondoa Tanzania ambapo Kongamano lake lilikuwa na ' Brass Band ' ya Kimedani kabisa wakati Binadamu wenye akili zao wakijadili mambo ya maana na Uchumi wa Taifa (...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Kama mada inavyo jieleza hapo juu, bilashaka kazi za vyombo hivyo TARURA NA DMDP zinafahamika, miongoni mwa majukumu yao muhimu ni kutatua kero za barabara za mitaani ktk Jiji la Dsm, nimefanya...
0 Reactions
1 Replies
775 Views
Kiongozi wa wananchi hasa katika nafasi ya kuchaguliwa na wananchi kama vile Diwani, mbunge na Rais wa Nchi, kazi yao kubwa ni kufata na kutekeleza kile ambacho wananchi wanachopenda. mfumo wa...
0 Reactions
1 Replies
43K Views
Wakuu, Nakubali kabisa sisi madereva wa serikali tukiwa barabarani huwa tunaona barabara kama zetu na huwa tunaona waendeshaji wengine wa magari hawana lolote wala hawana chochote. Hiyo ni chanzo...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Natoa pole kwa wale wote waliopoteza mali zao kwenye ajali ya boti iliyozama Ziwa Tanganyika. Ni MV bisso na bisso boat ilikua ikitoka Kigoma kuelekea Rumonge poleni. Hadi sasa sijapata taarifa ya...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Hope mko poa GT,, Naomba mnijuzee wazoefu bei ya kulinunua SIMTANK la ujazo wa kuanzia 5000L. inaendaje kwasasa? Nataka nianzishe mradi wa maji huku mtaani ili niweze endana na makali ya maisha...
0 Reactions
9 Replies
33K Views
Watanzania akili zetu zimelala sana wanao taka Manji aendelee kuwa mwenyekiti sio kama ni Kiongozi mzuri ila eti ni kwa sababu ana pesa Hayo mambo yamepitwa na wakati kilabu kubwa kama Yanga kuka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Umoja wa Ulaya (EU) umekanusha taarifa zinazodai Balozi wa umoja huo nchini Tanzania, Reoland van de Geer ametakiwa kuondoka nchini Tanzania. "Kiukweli ameitwa makao makuu kwa ajili ya...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Naona kuna zoezi la Makonda la watu kutaja wale wanaojihusisha na ushoga ila cha ajabu wote wanaotajwa ni wale wafanywaji. Ushoga hujumuisha mfanywa na mfanya wote kundi moja ili kutokuonea...
1 Reactions
1 Replies
7K Views
Nimeona mdau mmoja akiuliza kuhusu Kanisa la Silom na Mimi nikapata wazo la kuuliza kuhusu makanisa mawili niliyotaja hapo juu. Hivi haya makanisa yana waumini kweli maana sijawahi kuona watu...
8 Reactions
229 Replies
35K Views
SERIKALI imelitaka shirika la kimataifa ,Elimu ,Sayansi na Uchumi (UNESCO)kutoa takwimu sahihi juu ya matukio ya waandishi wa habari kufanyiwa vitendo vya unyanyasaji na mauaji kwa kila nchi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeangalia hii [emoji822] hadi nime cheka sikucheka tu kwa furaha ila kejeli. Hapa kuna mkusanyiko wa rika zote alafu teja mmoja anaropoka maneno ambayo hayana maadili na watu wanshangilia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hakuna kazi ngumu kama kutetea dhuluma dhidi ya haki, ujinga dhidi ya werevu. Wana stahiki tuzo iwe jua ama kiangazi wapo nawe daima. Si kazi rahisi kuishi ama Ku pretend uchawi.
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…