Bei za SIMTANK zikoje wadau?

Bei za SIMTANK zikoje wadau?

Jitihada

Senior Member
Joined
Feb 6, 2011
Posts
155
Reaction score
10
Hope mko poa GT,, Naomba mnijuzee wazoefu bei ya kulinunua SIMTANK la ujazo wa kuanzia 5000L. inaendaje kwasasa? Nataka nianzishe mradi wa maji huku mtaani ili niweze endana na makali ya maisha, Nimeona nianzie ktk hili jamvi kwani naamini humu ni kila kitu.
 
nadhani halipungua chini ya 350,000 sina uhakika sana.....
 
Tusaidieni jamani tunaotaka kujua bei tupo wengi....!!!
 
Ivi kiwanda kinachotengeneza SimTank kiko wapi hapa Dar wadau? Nataka kufika huko nikapate bei za matank yao ili nione namna ya kufanya nao biashara
 
Una lihitaji kwa matumizi gani
Au ww ni mweusi unataka kunywa maji mengi ili uwe mweupe?😂
 
Back
Top Bottom