mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
Habari Za Weekend Wakuu,
Leo ni zamu ya Unpopular Opinion JF Edition
Toa wazo lako lolote kuhusu maisha, mapenzi, kazi, biashara au JF ambalo unaliamin na kukubaliana nalo ila watu wengi hawakubaliani nalo au Jamii haikubaliani nalo
Haya Twendeeeee