Nini maana ya neno shoga???

MAGO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,256
2,975
Naona kuna zoezi la Makonda la watu kutaja wale wanaojihusisha na ushoga ila cha ajabu wote wanaotajwa ni wale wafanywaji.

Ushoga hujumuisha mfanywa na mfanya wote kundi moja ili kutokuonea upande mmoja inapaswa na wafanyaji nao watajwe.. Hapa sasa ndipo habari itakuwa imebalance
 
Anaefanya haitwi shoga ila anaitwa mende au Basha ,anaefanyiwa ndio anaitwa shoga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom