Kwenye saikolojia kuna kitu tunaita sex identity disorder au gender dysphoria.
Hii ni ile hali ambapo mtu anakuwa haimuingii akilini kuwa na jinsi aliyonayo au aliyozaliwa nayo. Mtu anaweza kuwa...
Mkuu was mkoa wa Dar ess salaam Paul Makonda amemtaka msanii Godfrey Tumaini "Dudubaya" kutulia badala ya kutaja wanahabari ya kiume anaewatuhumu kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja...
Habari wana jamvi, ninafanya tafiti kidogo na nimefikia hatua za mwisho ' kuna test questions chache nahitaji kuzijua ;
1.Hivi hayati Dr.kreluu hakuwahi kuwa na watoto ,mke kama wapo wapo wapi na...
Nape na kinana walipigana kuhakikisha CCM inarudi madarakani kwa nguvu zote hata kugharimu hadi Maisha ya wengine kuna wapo walipoteza maisha wakati wa Mapambano,
Ndugu yangu Anwar hadi leo...
Habari wadau,
Ninachokiona ni kwamba huwezi kulazimisha watu watumie sheria za barabarani za mwaka 60 ambapo gari zilikuwa chache hasa Mandolin zenye full speed around 80-110km/h huku nyingine...
Amani naiwe kwenu.
Niende moja kwenye mada. Tokea wimbi la "kutaja" kwa mafumbo na dhahiri kwa wanaojihusisha usodoma limeshika kasi katika jamii yetu kumekuwa na "ganzi" Fulani hivi kwa memba wa...
Mbunge wa Iringa Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Peter Msigwa amekanusha taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa gari yake inauzwa kutokana na hali ngumu ya...
HALMASHAURI ya Wilaya ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, imeshauriwa kuanzisha bucha maalumu kwa ajili ya kuuza nyama ya kiboko ikiwa ni mkakati wa kuwapunguza viboko waliopo katika bwawa la...
Wassalaam.
Hivi ndugu zetu wanaoishi zanzibar kwa muda sasa zaidi ya wiki 2 wamekua wakisumbuka katika kutafuta mafuta ili kuendeshea shughuli zao za kila siku.
Je tujiulizeni kwa nini hili suala...
Habari wanaJF,
Tangu jana kumekuwa na mijadala na post nyingi sana zinazozunguzia Ushoga na wapo wanao support kwa sababu ya misingi ya haki za binadamu na wengine kupinga vikali nikiwa mmoja wao...
Kichwa cha habari chahusika.
Kuna kitu ambacho watumishi wa umma na jamii wanakiona cha kawaida sana. Suala la matumizi ya rasilimali za serikali kama magari, pikipiki, computer, ofisi n..k...
Balozi wa Umoja wa Mataifa anaye simamia Haki za Binadamu Michelle Bachelet Ijumaa amesema ameshtushwa na tamko la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwamba kuna kamati itakayo undwa kufuatilia na...
“A nation which refuses to learn from foreign culture is nothing but a nation of idiots and lunatics... But to learn from other cultures does not mean we should abandon our own.”
FREEDOM AND...
Mimi ni mmoja kati ya wale wachache wanaopenda sana kutazama movie za kutisha au kwa jina jingine ni horror movies na zile movie za mission kama Operation blue sea au ile ya Lone survivor,
Movie...
Wakuu, mimi ni mkazi wa Tandika Mwembeyanga jijini DSM, mara kadhaa nimewaona wadada na wamama wa huku Tandika wale ambao ni wajawazito wakihaha kutafuta udongo ambao huutumia kama chakula...
Habari Za Weekend Wakuu,
Leo ni zamu ya Unpopular Opinion JF Edition
Toa wazo lako lolote kuhusu maisha, mapenzi, kazi, biashara au JF ambalo unaliamin na kukubaliana nalo ila watu wengi...
Jumuiya ya kimataifa yashtushwa na tamko la Makonda.Balozi wa Umoja wa Mataifa anaye simamia Haki za Binadamu Michelle Bachelet Ijumaa amesema ameshtushwa na tamko la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.