Nimeambiwa hili Swali litakuwepo Kesho katika Mtihani wangu muhimu kabisa hivyo nawaombeni mnisaidie kunijibia tafadhalini!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,461
108,585
Taja nchi yoyote ile duniani ukiondoa Tanzania ambapo Kongamano lake lilikuwa na ' Brass Band ' ya Kimedani kabisa wakati Binadamu wenye akili zao wakijadili mambo ya maana na Uchumi wa Taifa ( Alama 75 )

Nawasilisha.
 
Swali gumu ngoja nigugo kwanza........nitarudi!
 
Ni sawa na wale wanaofungua mikutano ya kisiasa kwa maombi ya viongozi mbali mbali wa dini, unasemaje kuhusiana na Hilo mleta mada?
 
Taja nchi yoyote ile duniani ukiondoa Tanzania ambapo Kongamano lake lilikuwa na ' Brass Band ' ya Kimedani kabisa wakati Binadamu wenye akili zao wakijadili mambo ya maana na Uchumi wa Taifa ( Alama 75 )

Nawasilisha.
Siku hizi wewe una chuki sana Na Tanzania kwa nini? Wanyarwanda tupeni jibu huyu mtu wenu mbona kugeuka hivi?
 
Nimejitahidi kutafuta vyanzo mbali mbali lakini sijaona nchi iliyowahi kufanya similar na hili kwa nchi zinazojiita za Kidemokrasia. Isipokuwa kitu cha kufanana na hiki kilifanyika Ujerumani mwaka 1939 chini ya Bwana Yule Adolf Nani Sijui, na sidhani kama ni sahihi kuliita lile ni kongamano maana lilikuwa kama bunge hivi na vikosi vya JESHI vilipita nje ya ukumbi husika kuonesha wako tayari kwa WWII. Kwa ushauri mzuri kama itakupendeza nadhani jibu sahihi ni "HAKUNA" na sababu za jibu hilo ziko nyingi. NAKUTAKIA MTIHANI MWEMA MAANA MUDA UNAKARIBIA.
 
Back
Top Bottom