Natafuta Samsung S7 edge

Natafuta Samsung S7 edge

josephwaara

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2016
Posts
304
Reaction score
641
Iliyo katika hali nzuri, no scratches.
Ukiweka picha itapendeza.
Uwe dar au arusha na bei maelewano.
 
Mkuu,

Simu nzuri ziko dukani, hizi za mikononi utauziwa za wizi ambazo zimetokea kwenye matatizo ya ujambazi, mauaji au watu kuvunjiwa nyumba zao.

Utaingia kwenye matatizo na kupoteza direction ya Maisha.

Ni Ushauri tu, yamewakuta watu tena wameuziwa simu na ndugu zao wa Damu.
 
ndugu umempa ushauri mzuri sana jamaa yetu.
 
Back
Top Bottom