Usodoma na JF

Usodoma na JF

Jason Statham2

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Posts
696
Reaction score
1,018
Amani naiwe kwenu.

Niende moja kwenye mada. Tokea wimbi la "kutaja" kwa mafumbo na dhahiri kwa wanaojihusisha usodoma limeshika kasi katika jamii yetu kumekuwa na "ganzi" Fulani hivi kwa memba wa JF. Wale malegendi na mabingwa wa kuchangia Karibu kila Uzi wamemute ghafla. Katika kipindi hiki tumeshuudia ID zisizo maarufu zikitiririka kama zimepakwa revola. Wale watu wetu wa kutoa michango fikirishi wamepotea au wamebaki wachache sana.

Break hii inaashiria nini? Members JF tuko salama? Nimejaribu kuunganisha doti lakini sipati picha. Picha inayonijia kwa mbali ni kwamba member wengi maarufu ma eksipati humu tuko niutroo.


Nawasilisha
 
Back
Top Bottom