Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,014
Kwenye saikolojia kuna kitu tunaita sex identity disorder au gender dysphoria.
Hii ni ile hali ambapo mtu anakuwa haimuingii akilini kuwa na jinsi aliyonayo au aliyozaliwa nayo. Mtu anaweza kuwa mwanaume laki akili inamuambia yeye ni mwanamke au mwanamke akili inamuambia ni mwanaume.
Watu wengi wenye tatizo hili huishia kuwa mashoga na mwasagaji.
Matibabu ya tatizo hili ni pamoja na ushauri wa kisaikolojia, matibabu ya kupewa homoni za jinsia yako na upasuaji wa kubadili jinsia