Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa mliotazama habari za mahakamani leo mwadada ambaer alishindwa kukaa kabisa akilalamika huko nyuma kumevimba.. Huyu dada kafanyiwa matendo gani huko lockup? Najua mtu anapewa matesso au...
13 Reactions
138 Replies
23K Views
KAZI IMEANZA ARUMERU Siku Moja baada ya Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro kukabidhiwa orodha ya Majina ya Vigogo ambao baadhi ni viongozi wa Kanisa la Baptist wanaotuhumiwa kutumia vibaya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Dada zetu toka Afrika wametumia fursa zilizopo India na Uchina kutengeneza pesa ndefu nimefika hapa New Delhi kuzama chocho nakutana na Dada wa kibongo wanalonga kiswahili change migomigo kabisa daah.
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Kardinali Polycarp Pengo yuko live Kwanza Tv. Updates: Kardinali Polycarp Pengo ameongelea juu ya Maadhimisho ya miaka 150 ya Umishionari nchini Tanzania Bara, tangu Wamishionari wa Holy Ghost...
1 Reactions
55 Replies
9K Views
Jamani tulishaambiwa mda fulani na kusisitiziwa na waziri mkuu hata na rais kuwa magari ya gvt yasitumike kwenye shuguli binafsi, IELEWEKE SINA CHUKI WALA NA TATIZO NA CG ILA HAKUNA FAIRNESS...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu habari za asubuhi ya Jumapili, Niweke tu wazi kuwa mimi ni mmoja wa mamilion ya watu tunaopenda background theme ya kituo pendwa cha matangazo ya runinga cha Kiarabu kilichopo Doha Je ni...
0 Reactions
4 Replies
964 Views
Kila tarehe 1 november ni sikukuu ya waabudu mashetani inayoitwa HALLOWEN , Katika kuingizwa kwenye ukristo ,imepewa jina la FEAST DAY OF ALLSAINTS, Waabudu shetani wamekuwa wakitumia ESOTERIC...
1 Reactions
43 Replies
8K Views
Moja kwa moja niende kwenye point, lakini kwanza naomba niseme mimi sitetei USHOGA wala vitendo vinavyoendana na USHOGA, isipokuwa nikiwa kama MKRISTO wa KWELI nimefundishwa kuwa na huruma kwa...
11 Reactions
57 Replies
10K Views
Ni kweli tunataka kuipigana hii Vita kwa kutanguliza siasa zaidi kuliko kukabiliana na ukweli husika Tunaomba tupelekewe majina na tunaona ni njia sahihi kuomba kupatiwa hayo majina ya mashoga na...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nadhani hii ni kama laana ya watu wanaolalamika kuwa kwa nini faini ziwahusu wao tu au magari binafsi huku ya serikali yakitamba yanavyotaka bila kufuata sheria na kuogopwa Na hii itaendelea sana...
0 Reactions
5 Replies
907 Views
Mtoto wa miaka minne akiwa anakatiza Jangwa peke yake akitokea nchi ya Syria kuelekea nchi ya Jordan huku akiwa amebeba mfuko wenye nguo za mama na dada yake ambao wameuwawa nchini Syria kwenye...
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Kwa muda sasa kumekuwa na madai kwamba utabiri wa hali ya hewa nchi hii ni feki. Kufuatia madai hayo, niliamua mwenyewe msimu huu kufuatilia kwa karibu ili niweze kuthibitisha. Katikati ya...
8 Reactions
58 Replies
8K Views
Kuna Watu Kutwa huwa mnalalamika kuwa sijui Tanzania hakuna Uhuru wa Vyombo vya Habari mara sijui Waandishi wa Habari wa Tanzania wananyanyasika mno na hawana mazingira mazuri ya Kufanya Kazi zao...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wapendwa BEGI langu la nguo za kuvaa lilibaki zimbabwe; Begi la Kilo 13.5 ; Rafiki yangu akanitumia kama cargo likaja Dar (SWISS PORT OFFICE) Leo nimetumiwa meseji nikachukue; kufika kule nika...
4 Reactions
44 Replies
6K Views
Mbona hiki kitabu cha huyu Salman Rushdie kimekaa kimauza uza hivi? Kweli hadi chapter ya pili nimeambulia patupu? Hivi anaongelea nini huyu kwenye hiki kijitabu chake? Maana hadi nimeshaanza...
2 Reactions
66 Replies
10K Views
Leo ndiyo nimeamini ya kwamba kweli kumbe hapa duniani hatuko sawa kabisa kwani wakati Wenzetu wenye akili zao timamu kabisa na wanaojua kuzitumia vyema wakizitumia kwa Maendeleo yao ambayo mengi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
katika sakata la mashoga bashite pamoja na kutoa namba ya simu ili atumiwe majina ya wanaodhaniwa kuwa ni mashoga bado hakusita kuwataja baadhi ya hao hadharani kwamba ni mashoga. amemtaja jemsi...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Napenda tuu kwaasa ndugu zangu wamtafute MUNGU wa kweli kwani waovu wamezidi hii dunia. Kuna muda mtu unafikia unajisikia huna Amani na wasiwasi tele kumbe ni matokeo ya kazi ya shetani sasa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Do you have a great digital idea that has the potential to create a better world? If so, please enter the #IdeasChangeLives challenge. You could win a prize of £20,000 and the chance to work with...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Essence ya maadili ni Mungu na sio vinginevyo. Chimbuko la jambo kwamba ni jema au baya ni kutokana linaonekanaje kwa Mungu. Kwamba Mungu analipimaje suala hilo? Kama sheria inasema kwamba when...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…