GARI LA CAG LILIKUA KWENYE SHUGULI BINAFSI NA CAG MWENYEWE HAKUWEPO KUNA MENGI YA KUJIULIZA

nanga mstafu

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
381
648
Jamani tulishaambiwa mda fulani na kusisitiziwa na waziri mkuu hata na rais kuwa magari ya gvt yasitumike kwenye shuguli binafsi,
IELEWEKE SINA CHUKI WALA NA TATIZO NA CG ILA HAKUNA FAIRNESS KWENYE MATUMIZI YA HAYA MAGARI,
kuna watumishi wengi wa umma nahalmashauri wanapataga shida au matatizo ya kuhitaji msaada wa gari ila kuna ugumu unatokea au unajibiwa IMEKATAZWA MAGARI YA SU AU STK KUTUMIKA KWENYE SHUGULI BINAFSI, sasa hii ipoje kuwepo na urahisi wa kupatikana kwa haya magari mtumishi yeyote wa umma apatapo shida sio kutolewa kwa upendeleo bz naamini CG alikua na magari mengine mengi ya kutumia ila aliamua kutumia la serikali na LILISAFIRI SIJUI USIKU mda ambao sijui ni sahihi
 
Awamu ya kubana matumizi mkuu hii.
 
CG#CAG
 
Lilisafiri kwenda chattle,may be walipewa salamu kwenda jijini
 
Si ulitokea msiba nacho jua serikalini kukitokea msiba lazima kuna gari lita toka serikalini kutumika kwny shuguli iyo
 
Maana ya Nanga kule Jeshini ni yule mtu ambaye kila kitu yupo nyuma yan mzembe mzembe kama si kutofahamu ama kujua kabisa......
 
Jamani tulishaambiwa mda fulani na kusisitiziwa na waziri mkuu hata na rais kuwa magari ya gvt yasitumike kwenye shuguli binafsi,
IELEWEKE SINA CHUKI WALA NA TATIZO NA CG ILA HAKUNA FAIRNESS KWENYE MATUMIZI YA HAYA MAGARI,
kuna watumishi wengi wa umma nahalmashauri wanapataga shida au matatizo ya kuhitaji msaada wa gari ila kuna ugumu unatokea au unajibiwa IMEKATAZWA MAGARI YA SU AU STK KUTUMIKA KWENYE SHUGULI BINAFSI, sasa hii ipoje kuwepo na urahisi wa kupatikana kwa haya magari mtumishi yeyote wa umma apatapo shida sio kutolewa kwa upendeleo bz naamini CG alikua na magari mengine mengi ya kutumia ila aliamua kutumia la serikali na LILISAFIRI SIJUI USIKU mda ambao sijui ni sahihi
Kumbuka walitoka chato kwenye msiba wa ndugu wa naibu CAG.Hii ni awamu ya chato hivyo hakuna kosa.Mambo yote chato
 
Gari iliyopata ajali Dodoma ilikuwa ya Naibu CAG Na waliofariki Ni Ndugu wa Naibu CAG

Inawezekana katika Stahiki zake Za Kisheria Ni pamoja Na gari Moja Kwa ajili ya familia japo sina uhakika Kwa Kuwa Sijui stahiki Za kisheria Za Naibu CAG
 
Jamani tulishaambiwa mda fulani na kusisitiziwa na waziri mkuu hata na rais kuwa magari ya gvt yasitumike kwenye shuguli binafsi,
IELEWEKE SINA CHUKI WALA NA TATIZO NA CG ILA HAKUNA FAIRNESS KWENYE MATUMIZI YA HAYA MAGARI,
kuna watumishi wengi wa umma nahalmashauri wanapataga shida au matatizo ya kuhitaji msaada wa gari ila kuna ugumu unatokea au unajibiwa IMEKATAZWA MAGARI YA SU AU STK KUTUMIKA KWENYE SHUGULI BINAFSI, sasa hii ipoje kuwepo na urahisi wa kupatikana kwa haya magari mtumishi yeyote wa umma apatapo shida sio kutolewa kwa upendeleo bz naamini CG alikua na magari mengine mengi ya kutumia ila aliamua kutumia la serikali na LILISAFIRI SIJUI USIKU mda ambao sijui ni sahihi
gari kuitwa MALI YA CAG haimaanishi ndo anayotumia yeye we zwazwa! gari ya CAG ina jibao limeandikwa CAG sio STL!
 
soma vizuri maelezo ya polisi utaona neno "Chato" !!! nadhani hutakua na maswali zaidi.
 
Tulia uandike vizuri ili taarifa yako ikamilike na zingatia neno CHATO muda wote.
 
Back
Top Bottom