Swali: Jazeera background Theme music

Wakuu habari za asubuhi ya Jumapili,
Niweke tu wazi kuwa mimi ni mmoja wa mamilion ya watu tunaopenda background theme ya kituo pendwa cha matangazo ya runinga cha Kiarabu kilichopo Doha

Je ni nani alibuni ile theme na kuiweka vyema namna ile

Theme yenyewe hii hapa chiniView attachment 920745
Qatar wanaakili sana, Aljaezera ni Tv channel nayopenda kuingalia haswa vipindi vya historia za jamii za middle East na zile za Nazi wa Ujeruman
 
Back
Top Bottom