Mparee2
JF-Expert Member
- Sep 2, 2012
- 3,290
- 5,769
Wapendwa
BEGI langu la nguo za kuvaa lilibaki zimbabwe; Begi la Kilo 13.5 ; Rafiki yangu akanitumia kama cargo likaja Dar (SWISS PORT OFFICE)
Leo nimetumiwa meseji nikachukue; kufika kule nika kutana na changamoto za hatari!!!!!
1. Pale swissport gate #6 kwenye cargo office ETI siruhusiwi kwenda kuchukua bag langu hadi nilipie wakala (Agent) shs laki mbili) ili aingie ndani kunitolea; Julmla ya Gharama nilizopewa ni hizi hapa chini (nime copy paste) - eti shs 600.000???
Nadaiwa shs LAKI SITA kwa nguo zangu niliacha zenya dhamani kama ya 250k?
Jamai hii hi halali???? au ndio sababu watu wanakimbilia kupitisha mizigo kwa jirani???
HADI SASA SIJALIPA KWANI NAONA HAINA UHALISIA
COST TO CLEARANCE THE GOODS
1. Handling charges (Swissport charges) 120,000.00
2. Customs charges 200,000.00
3. TBS (Tanzania bureau Standard) 50,000.00
4. Agent Fee 200,000.00
5. Miscelaneous 30,000.00
Total 600,000.00