Makahaba toka Afrika wang'aa INDIA+CHINA

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,513
Reaction score
40,354
Dada zetu toka Afrika wametumia fursa zilizopo India na Uchina kutengeneza pesa ndefu nimefika hapa New Delhi kuzama chocho nakutana na Dada wa kibongo wanalonga kiswahili change migomigo kabisa daah.
 
Mkuu hiyo ni kweli kabsa...mimi kuna mdada namfaham...yeye alianzia india akawa ananiambia kuwa kule india wateja wao wakubwa ni wa nigeria ndo huwa wanatembea nao na akawa anaelezea kwa cku anaeza akapata wateja hata kumi wa chap chap... baada ya muda india akafukuzwa nao yupo china anaendelea na shughuli yake
 
Na kuna Malaysia. Wakiondoka bongo utasikia naenda chuo ila hauwaoni darasa wala graduation. Na wateja wao wakubwa ni wapopo

Back
Top Bottom