Kushindwa kukaa kwa amber rutty

Kushindwa kukaa kwa amber rutty

hurrem_sultana

Senior Member
Joined
Sep 6, 2018
Posts
135
Reaction score
363
Kwa mliotazama habari za mahakamani leo mwadada ambaer alishindwa kukaa kabisa akilalamika huko nyuma kumevimba..

Huyu dada kafanyiwa matendo gani huko lockup?
Najua mtu anapewa matesso au kufanyiwa torture kama kuna vitu unatakiwa aconfess,,sasa yule kila kitu kipo wazi kwanini wamemuingizia walivyomuingizia kunako 0713 yake?
Inamaana yule kwa sasa sio binadamu tena na hana haki yoyote?

Nitarudi
 
Wamesha jua kuwa mtaro uko wazi nahisi maafande watamfukunyua tigo mpaka ajute
Ila noma Sana aisee
 
Are you rich more than Tim Cook (Apple inc CEO),Luke Evans, Wentworth Miller etc..?
They are SWAG (Secretly we are Gay)
Tena huyo CEO wa Apple anajivunia kabisa, niliwahi ona interview yake 2014 kipindi wana launch I6 mweee aliulizwa mbali na mafanikio ya kampuni yao jambo gani binafsi ambalo anajivunia akajibu simple tu *najivunia kuwa gay*
 
Acha kusoma conspiracy theories zinakumaliza akili na kuua uwezo wako wa kuinteract na jamii. Zile siyo kama unavyojiaminisha.

Uliyemquote alichoandika na jibu uliloleta ni mbingu na ardhi.
Conspiracy theory hapo, au huji kua kirefu cha neno SWAG (swaga) maana take ni KWA USIRI SISI NI MASHOGA.

Naelewa alichoandika Na context ya kilochomo kwenye bandiko lake.
 
Back
Top Bottom